Timu ya Taifa ya Uganda – The Cranes imepoteza mchezo wa kwanza hatua ya makundi ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika CHAN dhidi ya Togo kwa goli 2-1 mchezo uliokuwa mgumu na mzuri ukiwa na ...
Kiungo mshambuliaji wa Manchester City Kevin de Bruyne atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa mpaka wiki sita kutokana na majeruhi ya nyama za paja. Taarifa hiyo imetolewa na kocha mkuu wa Manchester ...
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu nchini Tanzania klabu ya Simba imesema kabla ya Jumatano ambapo mashindano ya Simba Super Cup yatakuwa yanaanza watakuwa wamemtambulisha kocha wao mpya ingawa ...
Nyota wa klabu ya Yanga Mrundi Fiston Aboul Razak atatua rasmi nchini Tanzania kesho Jumamosi kwa ajili ya kujiandaa na mechi za mzunguko wa pili wa Ligi Kuu nchini Tanzania VPL baada ya ...