Bondia Mmexico Mercado yuko tayari kumrushia Zarika

65

Bondia wa Mexico Yamileth Mercado anadai yuko tayari kwa ajii ya pambano lake la WBC Super – Bantam dhidi ya bingwa Fatuma Zarika. Pigano hilo litafanyika Nov 16 mjini Mexico, baada ya Zarika kumzaba chipukizi huyo mwenye umri wa miaka 20 mjini Nairobi mwaka jana kwa wingi wa pointi.  Mercado alidai kuwa aliibiwa na marefa katika pambano hilo la kwanza

Author: Bruce Amani