Manchester United wanahitajika kutoa pauni milioni 68 ili kupata saini ya beki wa kati wa Sevilla na Ufaransa mwenye umri wa miaka 22 Jules Kounde. Manchester City wanatafakari uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland, 20, kwa kumtengea kiasi cha pauni milioni 100. Mshambuliaji zao la Chelsea na England Tammy
