Mwandishi mkongwe wa Hispania Guillem Balague anasema klabu ya Real Madrid tayari imeona uongozi bora wa kocha Zinedine Zidane umefikia tamati lakini wanasubiri mpaka mwishoni mwa msimu huu kwa ajili ya kumfuta kazi kocha huyo. Lakini uongozi wa Zinedine Zidane umefikia ukomo? Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu nchini Hispania La Liga usiku wa kuamkia
