Real Madrid Wajikwaa Kigingi cha Cadiz

Mabingwa wa Ligi Kuu nchini Hispania La Liga Real Madrid wamevutwa shati na timu inayopambania nafasi ya kusalia Ligi Kuu Cadiz katika mchezo uliochezwa Jumapili kwa kupata sare ya goli moja kwa moja. Madrid ambao tayari wameshatwaa taji…

Man City Yabanwa Mbavu na West Ham United

Vinara wa Ligi Kuu England, Manchester City wamelazimisha sare ya 2-2 na wenyeji West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England mtanange uliopigwa Leo Jumapili katika uwanja wa London Jijini London. West Ham walitangulia kwa mabao…

Lewandowski Kutimuka Bayern Munich

Hatimaye safari ya miaka tisa ya mshambuliaji wa kimataifa wa Poland Robert Lewandowski ndani ya kikosi cha Bayern Munich imefikia tamati kufuatia mchezaji huyo kuweka wazi kuwa hataendelea nayo msimu ujao. Mkataba wa Lewandowski…