Kiungo mshambuliaji wa Manchester City Kevin de Bruyne atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa mpaka wiki sita kutokana na majeruhi ya nyama za paja. Taarifa hiyo imetolewa na kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola ambapo amesema kiungo wake huyo huenda akawa kitandani wiki nne hadi sita. De Bruyne raia wa Ubelgiji mwenye umri
