Barcelona Yachapwa na Rayo Valllecano

176

Klabu ya Barcelona imekutana na kipigo cha tatu cha msimu cha bao 2-1 dhidi ya Rayo Valllecano kwenye mechi ya Ligi Kuu nchini Hispania La Liga.

Mabao ambayo yameipa ushindi huo wa kihistoria kwa upande wa Rayo Valllecano yamefungwa na Alvaro Garcia na Fran Garcia huku bao pekee kwenye mechi hiyo upande wa Barcelona limefungwa na Robert Lewandowski.

Pamoja na kipigo hicho, Barca bado wanabakia kwenye njia ya ushindi kwa i wanaongoza kwa tofauti ya pointi 11 mbele ya Real Madrid ambao walipoteza bao 4-2 dhidi ya Ginoa.

Author: Bruce Amani