Rais Magufuli atafakari kurudisha michezo Tanzania

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amesema idadi ya wagonjwa wa Virusi vya Corona katika vituo vilivyotengwa imepungua sana, hivyo anaangalia wiki inayoanza kesho, kama hali itaendelea kuwa hivi, ataamua kufungua vyuo na kuruhusu michezo iendelee. JPM amesema michezo ni sehemu ya burudani kwa Watanzania hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia uwezekano wa kurejesha

Continue Reading →

CAF: Tarehe za michuano ya Afcon 2021 hazijaamuliwa

Shirikisho la soka barani Afrika linasema tarehe za kufanayika kwa michuano ya AFCON mwaka 2021 nchini Cameroon, hazijaamuliwa. Hatua hii imezua maswali, kuhusu uwezekano wa kurejea kwa michuano hiyo katika ratiba ya zamani ya mwezi Januari hadi Februari. Mwaka 2019, michuano hii ilifanyika mwezi Juni na Julai na kwa mara ya kwanza, mataifa 24 yalishiriki.

Continue Reading →