Browsing Category
AFCON
Taifa Stars yashinda 1-0 kwa Libya, yatupwa nje ya Afcon 2021 Cameroon
Taifa Stars leo Machi 28 imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Libya kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika, (Afcon) uliochezwa Uwanja wa Mkapa Jijini Dsm.Bao pekee la ushindi kwa…
Taifa Stars kamili gado kuwavaa Libya Afcon 2021
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inashuka dimbani leo Jumapili Machi 28 kumenyana vikali dhidi ya Libya katika mchezo wa kukamilisha ratiba ya kufuzu kuingia Kombe la Mataifa Bingwa Afrika Afcon 2021.
Taifa Stars ambayo inanolewa…
Nigeria yafanya mazoezi gizani wakijiandaa kuwavaa Benin mechi ya kufuzu Afcon 2021
Timu ya Taifa ya Nigeria Super Eagles imelazimika kufanya mazoezi kwenye uwanja wa Stade Charles de Gaulle, mjini Porto-Novo huku kukiwa na giza, yakiwa ni mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa Bingwa Afrika Afcon 2021…
Tanzania, Kenya zatolewa Afcon 2021, timu 14 zakanyaga Cameroon
Wakati timu nyingine zikitolewa na kupoteza nafasi ya kushiriki michuano ya fainali ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika Afcon 2021 kama Kenya na Tanzania, tayari timu 14 zimefuzu na kubakiwa na timu 10 pekee kutafuta nafasi hizo.
Fainali…
Ndoto za Kenya kufuzu Afcon zazimwa na sare ya 1-1 na Misri jijini Nairobi
Matumaini finyu ya Kenya kujikatia tiketi ya kucheza michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON mwaka ujao nchini Cameroon yamezikwa kabisa Alhamisi baada ya Harambee Stars kutoka sare ya 1 – 1na Misri.
Matokeo hayo yalimaanisha kuwa…
Taifa Stars yapoteza nafasi ya kucheza Afcon, yachapwa 1-0 na Equatorial Guinea
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepoteza mchezo wake wa makundi kuwania nafasi ya kucheza michuano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika - Afcon mwaka 2022 nchini Cameroon dhidi ya Equatorial Guinea kwa bao 1-0 mtanange…
Kenya yapigwa faini kwa kukiuka kanuni za Covid wakati wa mechi ya kufuzu AFCON
Kenya imepigwa faini ya dola 20,000 ambazo ni sawa na shilingi milioni 2.2 za Kikenya na maafisa wawili kusimamishwa kwa muda kwa kukiuka kanuni za Covid katika mchuano wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika – AFCON dhidi ya Comoros…
CAF yaridhishwa na hatua za kudhibiti maambukizi ya corona michezoni
Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limesema utaratibu wa kiafaya uliowekwa katika mechi za wiki hii na wiki iliyopita, kufuzu kucheza fainali ya Afrika mwaka 2021 nchini Cameroon, ulifuatwa kikamilifu, wakati huu bara la Afrika na dunia,…
Nyota wa Liverpool Salah akutwa tena na maambukizi ya Covid-19
Staa wa Liverpool Mohamed Salah amekutwa tena na maambukizi ya virusi vya Corona ikiwa ni mara ya pili ndani ya wiki mbili kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Misri. Salah, 28, wiki iliyopita alipimwa na kukutwa na dalili za Covid-19 leo…
Tanzania yaambulia pointi moja dhidi ya Tunisia kwa Benjamin Mkapa
Timu taifa ya Tanzania Taifa Stars imefanikiwa kubakia na alama moja dhidi ya Tunisia katika mchezo wa Kombe la Mataifa Afrika AFCON uliopigwa leo Jumanne dimba la Benjamin Mkapa ambapo Stars imetoka sare ya 1 - 1.
Stars ambayo inanolewa…