Simba yatoshana nguvu na Olympique Morocco

Mabingwa wa Ligi Kuu nchini Tanzania Simba SC imeendelea na maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2021/22 kwa kucheza mechi ya pili ya kirafiki dhidi ya Olympique Club mtanange uliomalizika kwa sare ya bao 1-1. Huu unakuwa ni mchezo wa pili kwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Didier Gomes Da Rosa ukiwa ni mwendelezo kabambe

Continue Reading →

Luis Jose Miquissone mali halali ya Al Ahly

Matajiri wa Afrika Kaskazini Klabu ya Al Ahly leo Agosti 26 imemtambulisha Luis Miquissone kuwa winga wao kuanzia msimu mpya wa mashindano ya 2021/22. Nyota huyo raia wa Msumbiji alikuwa anakipiga kunako klabu ya Simba kwa sasa ni rasmi atakuwa mali ya Waarabu hao wa Misri baada ya kukamilisha utaratibu mzima wa kupata saini yake.

Continue Reading →

Chama atua rasmi Berkane Morocco

Baada ya ukimya wa muda sasa tangia kufahamika kwamba Clatous Chota Chama hatabaki Simba kwa msimu ujao, sasa rasmi Leo Jumanne klabu ya RS Berkane inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morocco imethibitisha kumsajili nyota huyo. Chama ambaye ana umri wa miaka 30 ametumika Simba kwa misimu mitatu huku akijitofautisha kwa uwezo wake wa kutandaza soka laini

Continue Reading →

Yanga, Azam, Biashara United zawajua wapinzani wao CAF

Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2021/2022 imetoka leo Simba na Yanga zimepangiwa washindani tofauti hali kadhalika Mataifa tofauti ingawa zinaonekana kutokuwa timu tishio sana. Wawakilishi hao wa Tanzania Bara kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wamepangwa kukutana na timu ambazo zinaonekana zinaweza kupambana nazo na kuzitupa nje kama zitajipanga vizuri. Simba ndio inaonekana

Continue Reading →

Carlinhos awakacha Yanga na kutua klabu hii

Unamkumbuka Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo Carlinhos? Ndiyo, ni aliyewai kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Carlos Carlinhos ametua kwa mabingwa wa Angola Sagrada Esperanca kwa uhamisho huru. Nyota huyo ambaye alikuwa ni kipenzi cha Yanga alirejea kwao nchini Angola baada ya kuvunja mkataba na Yanga kwa makubaliano ya pande zote mbili. Sababu za kuondoka

Continue Reading →