Browsing Category
Africa
Morocco yaanza vyema kampeni ya kuhifadhi kombe la CHAN kwa ushindi dhidi ya Togo
Morocco ilipata ushindi wa 1 - 0 dhidi ya Togo jana wakati ikilenga kuwa nchi ya kwanza kutetea Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani - CHAN.
Bao la Morocco lilipatikana kupitia penalti iliyopigwa mara mbili na Yahya…
Kocha Ndayiragije awapa matumaini Watanzania kuelekea mechi ya Taifa Stars dhidi ya Zambia
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Etienne Ndayiragije amesema maandalizi ya kikosi hicho nchini Cameroon yapo sawa na wanaamini wataanza vizuri kesho Jumanne.
Stars imeweka kambi nchini Cameroon kwa ajili ya…
Yanga yaibwaga Simba Kombe la Mapinduzi katika fainali
Yanga imeibuka na ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Simba baada ya dakika 90 kukamilika sare tasa.
Nyota wa mchezo huo ni Farouk Shikalo ambaye aliokoa penalti moja ya Joash Onyango na Meddie Kagere…
Taifa Stars yatoshana nguvu na DR Congo mechi ya kirafiki kuelekea CHAN
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imefanikiwa kutoa sare ya goli moja kwa moja dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa dimba la Benjamin Mkapa leo Jumanne.
Goli pekee la Tanzania…
Simba yaifumua Namungo, sasa kukutana na watani wao wa jadi Yanga fainali ya Kombe la Mapinduzi
Simba SC imefuzu kuingia fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya Jana usiku kuifunga klabu ya Namungo FC ya Tanzania Bara goli 2-1 katika mchezo uliopigwa dimba la Amaan Zanzibar ikiwa ni nusu fainali ya pili.
Wekundu wa Msimbazi Simba…
Yanga yaifungashia mizigo Azam FC kwa penati Kombe la Mapinduzi
Yanga SC imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kupata matokeo chanya kwa penalti 5-4 dhidi ya Azam FC kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90.
Mtanange wa fainali utapigwa Jumatano na Yanga itakutana na mshindi wa…
Simba mbele ya Namungo nusu fainali Mapinduzi, Yanga yaisubiri Azam au Malindi
Baada ya klabu ya Simba kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa kuichabanga Mtibwa Sugar goli 2-0, sasa watachuana vikali na Namungo FC katika mchezo huo utakaokuwa unavuta hisia za mashabiki wengi nchini.
Leo kutakuwa na…
Aliyekuwa kocha wa Simba Sven Vandenbroeck atua Morocco ndani ya FAR Rabat
KOCHA Sven Vandenbroeck amejiunga rasmi na klabu ya F.A.R Rabat ya nchini Morocco baada ya kubwaga manyanga ndani ya Klabu ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kocha huyo amesaini dili la miaka miwili…
Yanga yatinga hatua ya mtoano Kombe la Mapinduzi kwa kuichapa Namungo 1 – 0
Kikosi cha Yanga kimeibuka kidedea dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi hatua ya makundi kwa ushindi wa goli 1-0 mtanange uliopigwa dimba la Amaan Zanzibar.
Goli pekee la Yanga lilifungwa na kiungo mkabaji Zawadi Mauya…
Simba yaiadhibu Chipukizi 3 – 1 Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar
Kikosi cha Simba kilicho chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola kimeanza kwa ushindi kwenye mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi hatua ya makundi
Simba imeshinda mabao 3-1 mbele ya Chipukizi ambayo imefungasha virago jumla…