Browsing Category

Africa

Namungo Yatoa Sare na Namungo

Namungo FC imevuna alama moja kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan, mchezo uliochezwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Namungo ilitangulia kwa bao la Shiza Ramadhani Kichuya dakika ya…

Mlandege Bingwa Kombe la Mapinduzi

Kikosi cha Mlandege kinachoshiriki Ligi Kuu Visiwani Zanzibar kimefanikiwa kutwaa taji la Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Big Stars mchezo uliopigwa dimba la Amaan Zanzibar. Mabao ya Mlandege yamefungwa…

Kabunda Aipa Ushindi Namungo

Hassan Kabunda, nyota wa zamani wa KMC ameipa ushindi Namungo FC na kuifanya timu hiyo kufuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi linaloendelea Visiwani Zanzibar baada ya kufunga bao moja dhidi ya Aigle Noir ya Burundi. Bao hilo…

Yanga Yaichapa KMKM

Klabu ya Yanga ikiwa mchanganyiko wa damu ya wazee na vijana imepata matokeo ya bao 1-0 dhidi ya KMKM katika mchezo wa Kundi B michuano ya Kombe la Mapinduzi leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Bao pekee kwenye mchezo huo limefungwa na winga…