Wasiwasi wa kusambaa maambukizi ya corona wagubika Michezo ya Olimpiki

Kuelekea michezo ya Olimîki jijini Tokyo nchini Japan, Ijumaa wiki ijayo, mmoja wa waandalizi wa michezo hiyo ameambukizwa virusi vya corona, akiwa kwenye kijiji walichofikia wachezaji mbalimbali. Mpaka sasa kuna visa 15 vya corona ambavyo vimeripotiwa kuhusiana na maandalizi ya michezo hii na inamaanisha kuwa afisa huyo sasa atajitenga hotelini kwa siku 14. Mwandalizi Mkuu

Continue Reading →

Mwanariadha Fraser-Pryce atinga Olympic kwa kumshinda Okagbre wa Nigeria

Mwanariadha na mshindi mara mbili wa mbio za Olympic Shelly-Ann Fraser-Pryce amejikatia tiketi ya kushiriki michuano ya Olympic kufuatia kuibuka mshindi wa mita 100 katika mbio zilizofanyika Doha, Qatar. Mkimbiaji huyo mwenye umri wa miaka 34 raia wa Jamaica alishinda tuzo ya dhahabu dhidi ya Muingereza Dina Asher-Smith akitumia sekunde 10.84 katika uwanja huo huo

Continue Reading →

Wanariadha kualikwa Japan kushiriki mbio za majiribio kabla kuanza michezo ya Olimpiki Tokyo

Waandalizi wa michezo ya Olimpiki ya Tokyo wamesema huenda wanariadha wa kimataifa wakaalikwa kushiriki mbio za majaribio kabla ya kuanza kwa michezo hiyo msimu huu wa joto. Majaribio hayo yatatumika kutathmini jinsi michuano hiyo itakavyokuwa wakati huu wa janga la virusi vya Corona. Yasuo Mori, ni mkurugenzi mtendaji wa kamati ya maandalizi ya Tokyo. “Kwa

Continue Reading →