Mwanariadha wa kike wa Kenya Brigid Kosgei ameibuka mshindi wa mbio za marathon za London 2020. Ushindi wa Brigid ni wa nne katika mbio hizo za kilomita 42.2. Kosgei alikamilisha mbio hizo kwa muda wa saa 2:18:01, mbele ya mshindani wake Mmarekani Sarah Hall aliyekimbia kwa muda wa saa 2:22:01. Nafasi ya tatu ilichukuliwa na
