Bondia Hassan Mwakinyo amefanikiwa kushinda pambano lake dhidi ya mpinzani kutokea Argentina Jose Carlos Paz katika mpambano uliofanyika leo Ijumaa Jijini Dar es Salaam. Ushindi wa Hassan Mwakinyo ambaye alikuwa anatetea mkanda wake wa WBF Intercontinental Super Welterweight unamaanisha ataendelea kuushikilia pengine hadi mwakani 2021. Bondia huyo mkazi wa Tanga amempiga Paz kwa TKO raundi
