Mshambuliaji wa kati wa Poland na Bayern Munich Robert Lewandowski amerejea kwenye mazoezi mepesi ndani ya uzi wa miamba hao wa Bavaria baada ya kuwa nje ya uwanja kwa siku 14. Lewandowski alikosa mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya PSG ambayo timu yake ilipigwa 3-2 na watakuwa na nafasi ya kujitetea katika mchezo
