Pale alipoishia ndipo alipoanzia, suala la kufunga kwake ni suala la muda pekee si mwingine bali ni Robert Lewandowski mshambuliaji wa Bayern Munich ambaye amekuwa na mfululizo wa mafanikio katika kuzifumania nyavu. Katika mtanange wa leo Lewandowski ametupia bao mbili wakati Bayern ikitoa adhabu ya bao 4-1 dhidi ya Arminia Bielefeld. Strika huyo wa kimataifa wa
