Browsing Category
Champions League
“Makosa ya Kiufundi”, droo ya Uefa yarudiwa, Man United V Atletico Madrid
"Makosa ya Kiufundi" ni kauli ambayo imetolewa na Shirikisho la Kandanda barani Ulaya (Uefa) imeitoa muda mchache baada ya kutoa droo ambayo mwanzo ilionyesha Manchester United kucheza na Villarreal kisha ikaonekana kuna makosa ya kupangwa…
Ni Messi na Ronaldo hatua ya mchujo Ligi ya Mabingwa
Droo ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambayo imefanyika Leo Jumatatu Disemba 13 imekamilika ambapo Manchester United imepangwa kumenyana na Paris St-Germain na Atletico Madrid kucheza dhidi ya Bayern Munich.
Mechi ya Manchester…
Man United yatoa sare na Young Boys
Manchester United imeambulia sare ya goli 1-1 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Young Boys mtanange wa mwisho wa Ligi hiyo hatua ya makundi ambapo licha ya sare hiyo bado imemaliza kama kinara wa kundi.
Mason Greenwood…
Barcelona yavunja rekodi ya miaka 17 kwenye Uefa
Mabingwa mara tano wa Ulaya FC Barcelona wametolewa rasmi kwenye mashindano hayo kufuatia kupata kipigo cha goli 3-0 kutoka kwa Bayern Munich mchezo uliopigwa dimba la Allianz Arena leo Disemba 8.
Kipigo hicho kinaifanya Barca sasa…
Chelsea yatoa sare ya 3-3 na Zenit St Petersburg
Chelsea imeshindwa kumaliza kinara wa Kundi H baada ya kulazimishwa sare ya goli 3-3 mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Zenit St Petersburg mtanange uliopigwa Leo Jumatano Disemba 8.
Chelsea ambayo wiki iliyopita walikutana kipigo…
Man City yachapwa 2-1 na Leipzig Ligi ya Mabingwa
Manchester City imekutana na kipigo cha goli 2-1 dhidi ya RB Leipzig katika mchezo wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye mchezo ambao imechezwa bila uwepo wa mashabiki kutokana na hofu na tahadhali ya Uviko-19.
Licha ya kufungwa,…
Liverpool, Salah waweka rekodi Ligi ya Mabingwa
Liverpool imeandikisha rekodi ya kuwa timu ya kwanza kutoka England kushinda mechi zote hatua ya makundi kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, rekodi hiyo imeandikwa katika dimba la San Siro ambapo Liverpool imeibuka na ushindi wa goli…
Klopp ateta na Salah kuhusu mkataba mpya
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema kwa namna ambavyo amekuwa akiishi na fowadi wa kimataifa wa Misri na klabu hiyo Mohamed Salah anamatumaini ataongeza mkataba kabla ya wa sasa haujamalizika.
Mchezaji huyo ambaye kwa sasa yuko…
Bayern, Barcelona watamenyana bila mashabiki
Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baina ya wenyeji Bayern Munich na Barcelona, Rais wa klabu ya Bayern Markus Soder amesema mchezo huo utachezwa bila mashabiki ikiwa ni sehemu ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya Covid-19.…
Atletico Madrid wapigwa 1-0 na AC Milan
Bao pekee la Junior Messias limeipa ushindi AC Milan katika mchezo wa hatua ya makundi uliopigwa dimba la Wanda Metropolitano nchini Hispania dhidi ya wenyeji Atletico Madrid, mtanange uliopigwa Jumatano. Ushindi huo unaifanya AC Milan…