Borussia Dortmund wamejikatia tiketi ya kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kupata alama moja katika sare ya goli 1-1 dhidi ya Lazio licha ya kukosa huduma ya mshambuliaji matata Erling Braut Haaland kutokana na majeruhi. Haaland, ambaye ana goli sita akiwa miongoni mwa vinara wa magoli Uefa 2020/21 alikutwa na majeruhi muda
