Manchester City imejikatia tiketi ya kushiriki hatua ya mtoano wa michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya baada ya kuvuna alama zote tatu katika mchezo uliopigwa ugenini kwa Olympiakos na kushinda 1 – 0. City ambayo imekuwa na mwendo ambao sio mzuri kwenye Ligi ya ndani hata Uefa pia msimu huu hawako kama ilivyokuwa msimu
