Alvaro Morata akiwa katika ubora mkubwa amefunga goli mbili wakati mabingwa watetezi wa Serie A wakishinda goli tatu kwa bila dhidi ya Ferencvaros mchezo wa kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2020/21. Kikosi cha kocha Andrea Pirlo kimepata ahueni kufuatia wiki iliyopita kukutana na kichapo kutoka kwa Barcelona ambao ulikuwa mchezo wa pili
