Hispania yalegeza vizuizi vya Covid-19, Real Madrid kupepetana na Liverpool Santiago Bernabeu

Serikali ya Uhispania imelegeza vizuizi vya kuingia nchini humo kwa mataifa ambayo yana maambukizi makubwa ya Corona, kulegeza kwa masharti hayo kuna maanisha kuwa mechi ya raundi ya kwanza ya Real Madrid dhidi ya Liverpool robo fainali itachezwa dimba la Santiago Bernabeu. Mwezi Disemba, taifa la Hispania liliweka vizuizi katika mataifa mengi ikiwemo ndege kutoka

Continue Reading →

Droo ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya

Mabingwa watetezi wa michuano ya klabu bingwa Ulaya Bayern Munich watachuana na Paris St-Germain katika mchezo wa robo fainali ya Champions League msimu huu wakati Borussia Dortmund ikiwa na kibarua dhidi ya Manchester City ya Uingereza. Chelsea inayotiwa makali na Thomas Tuchel, itachuana na klabu ya Ureno ya Porto alafu Real Madrid ya Uhispania itazipiga

Continue Reading →