Raundi ya 16 bora Champions League kurudi kibabe, Liverpool mdomoni mwa RB Leipzig, PSG ugenini kwa Barca

Hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inarejea tena Leo Jumanne baada ya kusimama kwa takribani miezi mitatu kwa klabu zilizoingia kupepetana vikali kuingia hatua ya robo fainali, nusu na hatimaye fainali na kuwa bingwa. Licha ya kurejea kwa mashindano hayo bado changamoto kubwa ni janga la Covid-19 ambalo linafanya baadhi ya mechi

Continue Reading →

Mechi ya Man City na Monchengladbach yatupiwa Hungary baada ya vizuizi nchini Ujerumani

Mchezo wa mkondo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya 16 bora kati ya Borrusia Monchengladbach na Manchester City umepangwa kuchezwa Budapest Hungary baada ya serikali ya Ujerumani kuweka vizuizi vya kuingia nchini humo ikiwa ni sehemu ya kupambana na maambukizi ya Covid-19. Taifa la Ujerumani limeweka vizuizi kwa mataifa yote yaliyoathirika zaidi ya virusi

Continue Reading →

Uefa yaanza uchunguzi wa tukio la ubaguzi wa rangi kwa kocha wa Instanbul Basaksehir

Shirikisho la Soka barani Ulaya – Uefa limeanza kufanya uchunguzi juu ya tukio la kibaguzi wa rangi kwa kocha msaidizi wa Instanbul Basaksehir ambaye alimtuhumu mwamuzi wa mezani kumtolea manano ya ubaguzi. Tukio hilo lilitokea dakika ya 14 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Jana Jumanne kati ya Paris St-Germain na Instanbul Basaksehir ambapo

Continue Reading →