Manchester United watacheza dhidi ya klabu ambayo anaichezea kiungo mshambuliaji wa zamani wa Manchester City David Silva Real Sociedad katika hatua ya 32 ya Ligi ya Europa mwezi Machi 2021. Lijendi huyo raia wa Hispania na Manchester City aliachana na klabu hiyo mwishoni mwa msimu uliopita na kujiunga na Sociedad ambapo sasa atarudi Jijini Manchester
