Tetesi za Mastaa Ulaya: Kocha Zidane awaaga wachezaji wake Real Madrid, Messi kutua Man City

Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amewaambia wachezaji wake kuwa ataachana na timu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Bosi wa Everton Carlo Ancelotti na yule wa zamani wa Juventus Massimiliano Allegri ni miongoni mwa majina yanayotajwa kuchukua nafasi ya Zidane ndani ya Real Madrid kama ataondoka klabuni hapo. Manchester City wameambiwa wanaweza kumsajili mshambuliaji wa

Continue Reading →

Tetesi za Mastaa Ulaya: Chelsea mtegoni kwa Haaland na Lukaku, Salah kutua PSG

Baadhi ya vyombo vya Habari Ujerumani vinasema klabu ya Manchester United itakamilisha uhamisho wa kumsajili winga wa kimataifa wa England Jadon Sancho 21, kutokea Borussia Dortmund, inaelezwa kiwa kiasi cha pauni milioni 65-75 zimetengwa. United wanaweza kumtumia kiungo mshambuliaji Jesse Lingard 28, kama chambo wa kuishawishi Borussia Dortmund kumuachia winga huyo ambaye msimu uliopita alikaribia

Continue Reading →

Tetesi za Mastaa Ulaya: Jose Mourinho aanza balaa AS Roma, ataka usajili bab kubwa

Kocha ajaye wa Roma Jose Mourinho amesema anahitaji kumsajili beki wa kati wa Brighton na England Ben White, 23. Arsenal inaangalia uwezekano wa kumsajili winga wa kimataifa wa Ufaransa Ousmane Dembele, 24, ingawa itakutana na ushindani kutoka kwa Atletico Madrid. Chelsea wanaelekea kumuongeza mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kukitumikia kikosi cha klabuni hiyo.

Continue Reading →

Tetesi za Mastaa Ulaya: Mbappe, Salah kupishana PSG, Kane njiani kwenda Barcelona

Matajiri Paris St-Germain wataangalia uwezekano wa kumsajili winga wa kimataifa wa Misri na Liverpool Mohamed Salah, 28, kama mchezaji wa timu hiyo Kylian Mbappe 22, hatakubali kuongeza mkatava mpya. Mshambuliaji wa Tottenham na England Harry Kane 27, yuko tayari kujiunga na miamba ya soka la Hispania Barcelona, lakini uongozi wa Barca utapendelea zaidi kumsajili Erling

Continue Reading →