Tetesi za Mastaa Ulaya: Steven N’zonzi awindwa na Arsenal, Kocha Mourinho yuko sokoni kutafuta mlinzi

Klabu ya a Tottenham wanaweza kukamilisha uhamisho wa kitasa wa Brazil Eder Militao, 22, ambaye yupo hapo kwa mkopo akitokea Real Madrid hivi sasa anahusishwa kutua katika klabu ya Roma, AC Milan na Inter Milan. Wakati huo huo, kocha wa Spurs Jose Mourinho ameonyesha nia ya kumsajili winga wa Stuttgart Nicolas Gonzalez, 22, ingawa atakutana na

Continue Reading →

Tetesi za Mastaa Ulaya: Chelsea yasaka beki matata kutokea RB Leipzig Upamecano

Inter Milan wanahitaji kumsajili kwa mkopo kiungo mshambuliaji wa Manchester United na England Jesse Lingard, 28, kufanikiwa kwa dili hilo ni pale ambapo kiungo wa Denmark Christian Eriksen atakubali kuondoka klabuni hapo. Kiungo ghali wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba 27 ametajwa na kocha wa mpya wa matajiri wa Jiji la Paris, PSG Mauricio Pochettino katika

Continue Reading →

Tetesi za Mastaa Ulaya: Bosi wa PSG Pochettino asaka saini ya Kun Aguero wa Manchester City

Kocha wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino anahitaji kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na Manchester City Sergio Kun Aguero, 32, ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni. Kiungo mshambuliaji wa Arsenal Mesut Ozil yupo katika mazungumzo na klabu ya Uturuki Fenerbache kwa mkopo wa msimu mzima, ingawa The Gunners wanahitaji wasitoe kiasi chochote katika mshahara wake. The Gunners wanahusishwa pia

Continue Reading →