Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA limethibitisha kuwa mataifa ya Australia na New Zealand yamekubali kuandaa mashindano ya fainali za Kombe la Dunia mwaka 2023 upande wa wanawake. Muungano huo umepata tiketi hiyo baada ya kuishinda Colombia lakini awali ulikuwa ni mchakato mgumu kabla ya Japan na Brazil hazijajitoa kushiriki michuano hiyo mwanzoni mwa
