Tetesi za Mastaa Ulaya: Babake Messi aendeleza mazungumzo na Barcelona, Suárez akimbilia Juventus

Rais wa Napoli Aurelio de Laurentiis amesema anahitaji kumsajili beki wa kati wa Arsenal na Ugiriki mwenye umri wa miaka 32 Sokratis Papastathopoulos, jambo linaloashiria kuwa mlinzi wa timu hiyo na Senegal Kalidou Koulibaly, 29, ataondoka na kujiunga na Manchester City. De Laurentiis amesema alikataa kumuuza mapema staa wake Koulibaly 29, kwenda kwenye timu ambazo

Continue Reading →

Tetesi za Mastaa Ulaya: Messi afikiria kubakia Camp Nou, Kocha mpya Barcelona amhitaji Georginio Wijnaldum

Inaelezwa kuwa staa wa Argentina Lionel Messi ameanza kufikiria kuendelea kusalia Barcelona baada ya kupewa ofa ya miaka miwili hivyo huweza akasalia ndani ya Camp Nou. Barca imefanya kikao cha ndani na babake Messi anayefahamika kwa jina la Jorge kwa ajili ya kujadili hatima ya staa huyo baada ya kuhusishwa kuondoka na kujiunga na matajiri

Continue Reading →

Tetesi za Mastaa Ulaya: Rais wa Argentina ataka Messi arudi kucheza nyumbani, Chelsea yavunja rekodi ya usajili, Havertz anukia darajani

Mgombea Urais wa klabu ya Barcelona Toni Freixa amesema kuna uwezekano mkubwa wa mshambuliaji wa timu hiyo Lionel Messi kuondoka Nou Camp katika dirisha hili kubwa la usajili na kujiunga na Manchester City. Barcelona wanaamini njia pekee itakayomfanya Messi kuondoka huru Barcelona ni kuthibitisha mwenyewe kuwa hatacheza tena mpira kwa misimu ijayo. Rais wa Argentina Alberto

Continue Reading →

Kai Havertz kutambulishwa na Chelsea hivi karibuni akitokea Leverkusen

Kocha wa Bayer Leverkusen Peter Bosz anaitayarisha timu yake kwa ajili ya michezo ya Bundesliga msimu ujao bila kufikiria kuhusu mchezaji wa kati Kai Havertz na mshambuliaji Kevin Volland, na kwamba huenda wakakamilisha uhamisho wao hivi karibuni. Havertz anahusishwa na kuhamia Chelsea na Volland yuko njiani kuelekea Monaco nchini Ufaransa. “Natarajia kuwa hatarejea,” Bosz alisema leo kuhusu Havertz, ambaye

Continue Reading →