Browsing Category
Football
Tetesi za Mastaa Ulaya: Liverpool hatarini kumpoteza mmoja wapo kati ya Salah, Mane na Roberto…
Liverpool lazima watoe mpunga mkubwa kumbakiza mshambuliaji wa Kimisri Mohamed Salah, 28, ambaye inaelezwa kuwa hana furaha klabuni hapo, ameyasema hayo Robbie Fowler nyota wa zamani wa Liverpool.
Mshambuliaji wa Ireland Tony Cascarino…
Mbappe ang’aa, PSG wakishinda mbele ya Brest Kombe la Ufaransa
Kikosi cha kocha Mauricio Pochettino amefanikiwa kukiongoza kikosi chake cha Paris St-Germain kutinga 16 bora huku mshambuliaji wa Kifaransa Kylian Mbappe akifunga bao mbili katika mchezo wa Kombe la Ufaransa dhidi ya Brest.
Mbappe…
Tetesi za Mastaa Ulaya: Kocha Bayern Flick amtaka Haaland kwa nguvu zote, Barcelona yakwama kwa…
Bosi wa Bayern Munich Hansi Flick amesema kuna uwezekano mkubwa wa kumsajili strika matata wa Borussia Dortmund raia wa Norway Erling Braut Haaland 20, licha ya vilabu vingi kuwa kwenye ushindani wa saini yake.
Mtendaji Mkuu wa Borussia…
IFAB yaja na kanuni mpya za makosa katika kunawa mpira kwenye kandanda
Mamlaka za utungaji wa Sheria na kanuni mbalimbali katika kandanda ulimwenguni zimekaa na kupitia upya sheria na kanuni hizo na kutoa mapendekezo kadhaa ikiwemo adhabu ya kuunawa mpira kwa bahati mbaya au vinginevyo.
IFAB ambao ni Bodi…
Tetesi za Mastaa Ulaya: Fernandes kujifunga kitanzi Man United kwa mkataba mpya
Arsenal ni miongoni mwa timu ambazo zinahusishwa kwenye usajili wa mlinzi wa Kifaransa na klabu ya RB Leipzig Ibrahima Konate, 21.
Konate ni miongoni mwa majina sita ndani ya The Gunners yanaotajwa baada ya jina kama Alexandre Lacazette,…
Yanga Princess, Simba Queens zatambiana kibabe kuelekea mchezo wao
Kocha Mkuu wa Yanga Princess Edna Lema, amesema anaamini mchezo wao dhidi ya Simba Queens, wa Machi 5 kesho ijumaa utakuwa na ushindani mkubwa ila wao wanahitaji pointi tatu.
Itakuwa ni dabi ambayo itaanza kuchora ramani ya bingwa ajaye…
Barcelona yapindua meza kibabe kwa Sevilla, yashinda 3-0 nusu fainali ya Kombe la Mfalme
Barcelona wamepindua kibabe matokeo ya mkondo wa awali wa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Copa del Rey baada ya kufungwa 2-0 na kushinda 3-0 nyumbani.
Barcelona walianza kupata goli kupitia kwa winga wa Kifaransa Ousmane Dembele kabla…
Uingereza kuomba FIFA kuandaa Kombe la Dunia 2030, asema Waziri Mkuu Boris Johnson
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema ni muda sahihi wa Uingereza na Jamhuri ya Ireland kuungana kwa pamoja na kuomba kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2030.
Serikali ya Uingereza imeripotiwa kuwa itaanza kujadili bajeti ya…
Sancho aipeleka Dortmund nusu fainali kwa kuifunga Monchengladbach 1-0 Kombe la DFB Pokal
Bao pekee la winga wa England Jadon Sancho limeiwezesha kuipeleka timu yake ya Borussia Dortmund hatua ya nusu fainali ya Kombe la Ujerumani kwa kuichapa Borussia Monchengladbach bao 1-0.
Linakuwa bao la 12 katika mashindano yote kwa…
Tetesi za Mastaa Ulaya: Real Madrid yakubali yaishe kwa Raphael Varane, Man United yatajwa…
Real Madrid wako tayari kumuachia beki wa kati wa timu ya taifa ya Ufaransa Raphael Varane, 27, ambaye amekuwa akihusishwa kujiunga na Manchester United baada ya kukataa kuongeza kandarasi mpya klabuni hapo.
Mshambuliaji wa kimataifa wa…