Mlinda mlango wa kimataifa wa Togo Abdoul Moubarak Aigba amejiunga na mabingwa wa Ligi Kuu nchini Kenya wa mwaka 2009 klabu ya Sofapaka kwa kandarasi ya miaka miwili. “Tumemsajili mlinda mlango raia wa Togo Abdoul-Moubarak Aigba kwa miaka miwili” ilisema taarifa ya klabu. Kwa upande wake Aigba alisema “anafuraha kujiunga na klabu hiyo kubwa yenye
