Mshambuliaji Boniface Omondi ajiunga na Wazito akitokea Gor Mahia

Mshambuliaji wa Gor Mahia, Boniface Omondi amejiunga rasmi na mabwenyenye Wazito FC kwa mkataba wa miaka mitatu. Mkataba wa Omondi ulimalizika K’Ogalo mnamo mwezi Juni na mshambuliaji huyo hatari alisema kwamba aliamua kuondoka baada ya maafisa wa kilabu kushindwa kuanzisha mazungumzo mapya ya mkataba na kushindwa kumlipa malimbikizo ya mshahara wake. Walakini, kutoka klabuni imefanya 

Continue Reading →

Ligi Kuu Kenya yapata mdhamini, kampuni ya BetKing yasaini mkataba wa miaka mitano

Shirikisho la kandanda la Kenya FKF limetangaza kutia kandarasi na mfadhili BetKing kampuni ya kubashiri matokeo ya mpira kutoka Nigeria, na inaripotiwa watakuwa wakitoa ufadhili wa zaidi ya shilingi Bilioni 1.2 katika miaka mitano ijayo. Hii ni baada ya kampuni ya Sportpesa kujiondoa katika mwaka wa 2019. Rais waa Shirikisho FKF Nick Mwendwa alichapisha katika ukurusa

Continue Reading →

Bandari FC yamtimua naibu kocha kutokana na uhaba wa fedha

Klabu ya Bandari iliyoko Mombasa pwani ya Kenya imemtimua naibu mkufunzi wake Ibrahim Shikanda kutoka kwenye benchi lake la ukufunzi. Shikanda amesema kuwa alipokea simu kutoka kwa wakuu wa klabu hiyo wakimjulisha kumfuta kazi kutokana na uhaba wa fedha uliosababishwa na janga la virusi vya Corona, amabalo limeathiri uchumi wa sekta mbalimbali duniani. Shikanda alijiunga

Continue Reading →

Sony Sugar yatimuliwa katika ligi ya Kenya

Sony Sugar wamefurushwa rasmi kutoka Ligi Kuu ya Kandanda Kenya – KPL, baada ya wao kushindwa kucheza mechi tatu za msimu huu wa ligi. Kutokana na hilo, matokeo yao yote ya msimu huu yamefutwa na mechi zao za msimu kufutwa. Siku ya Jumatano, Sony waliwapa Zoo Kericho pointi tatu za bure, baada ya kufanya hivyo

Continue Reading →

Wazito FC wamtimua kocha Melo baada ya mechi nne tu

Wazito FC wamemtimua kocha Melis Medo baada ya kuwa usukani kwa mechi nne tu, tangu alipochukua mikoba ya uongozi wa klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Kandanda Kenya – KPL. Mmarekani huyo ambaye aliwahi kuzifundisha Sofapaka na Mount Kenya United alichukua nafasi ya kocha aliyepigwa kalamu Ambani mwezi uliopita na akashinda mechi moja pekee, akapoteza

Continue Reading →