Wazito FC wamerejea katika Ligi Kuu ya Kandanda Kenya – KPL pamoja na Kisumu All Stars baada ya kumaliza katika nafasi ya kwanza na pili mfululizo kwenye ligi ya daraja la pili ya National Super League – NSL ambayo imekamilika Jumapili. Wakati huo huo, Nairobi Stima waliwazaba Eldoret Youth 4 – 2 na kumaliza katika
