Browsing Category

KPL

Ouma Atua Simba wa Nairobi

Wakati Ligi Kuu nchini Kenya FKFPL ikiwa mbioni kuanza kwa maana ya mwezi ujao, klabu zimeendelea kuandaa majeshi ambapo Nairobi City Stars wamekamilisha uhamisho wa kiungo mkabaji wa zamani wa Migori Youth, anayefahamika kama Clifford…

Aussems Kurejea Kenya, AFC Leopards

Kocha wa zamani wa Simba SC Patrick Aussems amethibitisha kuwa anategemea kurejea kwenye kikosi cha AFC Leopards licha ya kuwa kulikuwa na taarifa kuwa kocha huyo raia wa Ubelgiji angejiunga na timu nyingine. Aussems aliondoka nchini…

Wazito Yajitoa Kushiriki Ligi Kuu Kenya

Klabu ya Wazito FC ambayo inayoshiriki Ligi Kuu nchini Kenya FKFPL imeamua kujitoa kushiriki Ligi hiyo pamoja na mashindano mengine ya michezo ambayo yanaandaliwa na kamati maalumu ya michezo kutokana na kasoro nyingi ambazo zimeendelea…