Mshambuliaji wa Real Madrid Eden Hazard atakosa mchezo wa Jumatano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Manchester City hatua ya 16 bora kufuatia majeruhi aliyoyapata katika mchezo dhidi ya Levante, mtanange uliomalizika kwa Real kuchapwa goli 1-0. Hazard, 29, alirudi uwanjani wiki iliyopita baada ya kuwa nje kwa zaidi ya miezi mitatu, mechi ya
