Browsing Category
La Liga
Siheshimiwi, nahitaji kuheshimiwa Barcelona – Koeman
Kocha wa Fc Barcelona Ronald Koeman amesema amekuwa akikosewa heshima ndani ya Catalunya ambapo amesema anahitaji kuheshimu kwa kiasi kikubwa hii ni kutokana na tetesi za kutafuta kocha mpya klabuni hapo wakati bado anamkataba.
Baadhi ya…
Kocha Zidane akanusha uvumi wa kuondoka klabuni mwishoni mwa msimu
Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amekanusha taarifa za kuwa amewaambia wachezaji juu ya kuondoka mwishoni mwa msimu huu.
Jumapili Mei 16 ziliibuka ripoti mbalimbali kutoka Hispania zikimhusisha kocha huyo ambaye ni mchezaji wa zamani…
Atletico Madrid wanahitaji ushindi mbele ya Valladolid kuwapa ubingwa La Liga
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay Luis Suárez ameendelea kuonyesha ubora wake licha ya msimu uliopita kutemwa na Barcelona kutokana na matokeo mabaya hasa kwenye michuano ya Ulaya, ambapo Leo Jumapili amekisaidia kikosi cha Atletico…
Atletico Madrid njia nyeupe kwenye ubingwa La Liga
Atletico Madrid wanahitaji ushindi kwenye mechi mbili za Ligi Kuu nchini Hispania La Liga kutawazwa Mabingwa hii ni baada ya kuifunga Real Sociedad bao 2-1 katika mchezo uliopigwa dimba la Wanda Metropolitano Jumanne.
Endapo vijana wa…
Atletico Madrid wafurahia sare ya Barcelona, hatima ya ubingwa mikononi mwao
Atletico Madrid inaweza kwenda kileleni kwa tofauti ya alama nne endapo itashinda mchezo wake dhidi ya Real Sociedad unaotegemewa kuchezwa Leo Jumatano Mei 12, majira ya saa tano za usiku katika dimba la Wanda Metropolitano.
Madrid…
Barcelona wapoteza nafasi ya kwenda kileleni La Liga baada ya sare ya 3 -3 na Levante
Jumanne.
Lionel Messi aliitanguliza Barca mapema kabisa kabla ya Pedri kufunga goli la pili akitumia vyema mpira wa winga Wa kifaransa Ousmane Dembele.
Baada ya hapo mambo yakageuka, Butonzalo Melero alirudisha matumaini kwa kufunga goli…
Real Madrid wabanwa na Sevilla na kunyimwa nafasi ya kwenda kileleni
Bao la kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Ubeligiji Eden Hazard limeisaidia Real Madrid kuondoka na pointi moja kwenye mechi ya kibabe ya Ligi Kuu nchini Hispania na kutoa sare ya bao 2-2.
Real Madrid walianza kupokea goli lililofungwa na…
Vinara Atletico Madrid wabanwa na Barcelona, faida kwa Real Madrid
Atletico Madrid wamebakia na alama mbili kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu nchini Hispania La Liga baada ya kulazimishwa sare tasa na Barcelona katika mchezo uliopigwa dimba la Camp Nou ambao Luis Suárez alikuwa anarejea kufuatia kutimuka…
Barca kupepetana vikali na Atletico Madrid katika vita ya ubingwa La Liga
Barcelona watakuwa nyumbani kuwakaribisha vinara Atletico Madrid Jumamosi katika miongoni mwa michezo muhimu ya kusaka nafasi ya ubingwa wa Ligi Kuu nchini Hispania La Liga.
Kabla ya mchezo huo, mwezi Januari Atletico…
Kocha wa Valencia Garcia atupiwa virago
Baada ya takribani miezi 10 klabu ya Valencia inayoshiriki Ligi Kuu nchini Hispania - La Liga imemfuta kazi ya ukocha, Javi Gracia Leo Jumatatu kufuatia matokeo mabovu.
Jumapili ya Mei 2, Valencia walikuwa na mchezo dhidi ya Barcelona…