Karim Benzema amefunga goli katika mechi sita A La Liga na kuisaidia timu yake ya Real Madrid kuibuka kidedea dhidi ya Celta Vigo kwenye ushindi wa goli 3-1 mtanange uliopigwa leo Jumamosi. Mfaransa huyo alifunga goli zote mbili akimalizia pasi za kiungo mshambuliaji wa Ujerumani Toni Kroos ambaye alikuwa kwenye ubora mkubwa. Celta walipata bao
