Staa wa Paris St-Germain Neymar atarejea viwanjani mwezi Januari baada ya kupata majeruhi ya enka kwenye mechi ya Ligi Kuu nchini Ufaransa Ligue dhidi ya Lyon Disemba 13. Tangia Disemba 13 bado Neymar alikuwa anachunguzwa na jopo la madaktari kuangalia ukubwa wa majeruhi hayo ambayo alifanyiwa faulo na Thiago Mendes, ambaye baadae alionyeshwa kadi yna
