Mbappe atwaa kiatu cha dhahabu Ligue 1

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Kylian Mbappe ametwaa tuzo ya mfungaji bora wa msimu baada ya kufunga goli moja katika ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Brest mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu nchini Ufaransa Ligue 1. Unakuwa ni msimu wa tatu mfululizo kwa mshambuliaji huyo kutwaa tuzo hiyo ukijumulisha na msimu uliopita walipotoshana na

Continue Reading →

PSG washinda Kombe la Ufaransa mbele ya Monaco

Paris St-Germain wameshinda taji la Kombe la Ufaransa kwa kuitandika Monaco bao 2-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa dimba la Stade de France. Magoli ya PSG yamefungwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina Mauro Icardi akimalizia pasi ya winga wa Ufaransa Kylian Mbappe kunako dakika ya 19 ya mchezo. Baadaye uhakika wa taji kwa kocha

Continue Reading →

Lille yarudisha mbio za ubingwa Ligue 1 kwa PSG

Mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu nchini Ufaransa – Ligue 1 zimerejea tena kufuatia vinara Lille kubanwa mbavu huku timu iliyo nafasi ya pili PSG ikishinda kwa kishindo. Katika mchezo wa Jana Jumapili, vinara Lille walitoa sare tasa dhidi ya Saint-Etienne, na kuwaruhusu Paris St-Germain kushinda na kubakia alama moja kuwakamata katika nafasi ya

Continue Reading →

PSG yatinga fainali Kombe la Ufaransa yaichakaza Montpellier kwa penati

Paris St-Germain imetinga fainali ya Kombe la Ufaransa kwa kuifunga klabu ya Montpelier kwa matuta 6-5 mtangane uliopigwa Jumanne. Shujaa wa mchezo huo alikuwa Moise Kean aliyefunga penati ya mwisho kufuatia mchezaji wa Montpelier Junior Sambia kukosa penati. Katika mchezo wenyewe, Kylian Mbappe alifunga goli mbili na kuipa uongozi PSG, kabla ya Gaetan Laborde kuirejesha

Continue Reading →

Neymar Jr kusalia PSG mpaka 2025

Nyota wa kimataifa wa Brazil Neymar Jr amemwaga wino kuendelea kukitumikia kikosi cha matajiri Paris St-Germain kwa mkataba wa miaka mitatu, sasa kandarasi yake itakamilika Juni 30, 2025. Neymar mwenye umri wa miaka 29, amesema ni furaha kuendelea kuwa hapa. Alijiunga na PSG 2017 kwa ada iliyovunja rekodi ya pauni milioni 200 kutokea Barcelona, ambapo

Continue Reading →