Mabingwa Paris St-Germain wameanza vyema kampeni ya kuwania taji la Ligue 1 baada ya kushinda goli 3-0 dhidi ya Nimes bila ya huduma ya mshambuliaji wake Neymar. Mkurugenzi wa Michezo wa PSG Leonardo akizungumza baada ya mchezo huo alisema “Mazungumzo ya Mbrazil huyo kuondoka ni mazuri na yanaendelea vyema tofauti na hapo awali”. Katika mchezo huo,
