Browsing Category
Maoni
Maoni: Simba Ya Chama Na Sakho Moto Zaidi Ya Ile Ya Miquissone?
Watu wengi wanajiuliza Simba ya Chama na Sakho itakuwaje? Nilipata wasaa wa kukutana na wapenzi na mashabiki wa Simba wakiwa wanabishana kwenye vijiwe vya kahawa kuwa Simba ya Chama na Miquissone ilikuwa moto na wengine wanasema Simba ya…
Maoni: Kombe la Mapinduzi Fahari ya Macho
Leo nataka kunena mambo kadhaa juu ya Mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendelea visiwani Zanzibar na namna ambavyo ni fahari katika macho ya watazamaji Tanzania na nje ya mipaka yake. Kama ambavyo wanasema "fimbo ya mbali haiui nyoka"…
Maoni: Simba Ajibu wa nini, Azam Watampata Lini?
Labda wahenga waongope, lakini Simba SC wanasema Ajibu wa nini, Azam waliwaza watampata lini?'. Au ule usemi wa nguo chakavu ndio dekio jipya ufutwe. Ila ni wazi kuwa utumwa wa Ajibu Simba sasa anaweza kuwa mfalme kwenye ngome ya wana…
Maoni: Nimlaumu nani, TFF, Bodi ya Ligi, Azam TV au Waamuzi
Ni kitendawili kigumu, nashindwa kukitegua. Kitendawiliii...? Nakumbuka wakati ningali kijana mdogo niliwahi kuulizwa kuwa ' kati ya kamba na hewa kipi kinavutwa?'. Swali hili lilinifanya nitafakari sana juu ya usahihi wa jibu lake.…
Tabia ni kama ngozi, aliyekuwa kocha wa Yanga Luc Eymael hakosi utata kila aendako
Wakati Wanayanga na wapenda soka Tanzania kote wanajiuliza inakuwaje karne ya 21 maneno yaliyokosa staha, na heshima yanatolewa na mtu ambaye anatazamika kama mweledi kumbe wahenga hawakukosea kusema "Tabia ni kama ngozi" wakimaanisha ugumu…
EPL yaweka wazi tarehe ya kuanza mazoezi, angalia mikakati itakayozingatiwa ili wachezaji…
Wakati Ligi Kuu England ikikusudia kurejea rasmi Juni 8 na mazoezi kuanza katikati ya mwezi Mei kuna mambo ambayo viongozi wa ligi hiyo wamekusudia vilabu kutekeleza kabla ya mashindano rasmi kuanza.
Corona ipo na bado haijulikani…
Hizi hapa sababu za PSG kupewa ubingwa, na uchambuzi kuhusu ubingwa huo
Imeshatokea, Paris Saint Germain wametawazwa kuwa bingwa wa Ligue 1 kutokana na virusi vya Corona kuendelea kuathiri shughuli za siku na siku ulimwenguni
Maamuzi hayo hayakuwa rahisi kufikiwa kwani kulikuwa na njia moja, mbili mpaka tatu…
Inashangaza kidogo ukilitafakari hili la Simba
Hii inatokea Tanzania tu bila shaka. Kwa uchunguzi wa kawaida tu utabaini kwamba Tanzania hakuna "u'serious" kwenye mpira wa miguu.
Inakuwaje Simba inamuachia kiungo bora msimu uliopita ndani ya klabu yao? James Kotei. Wakati hata jibu…
Amunike asiwe kichaka cha kufichia mapungufu ya Taifa Stars
Kocha Emmanuel Amunike amekuwa kivuli cha kufichia udhaifu wa timu ya Tanzania "Taifa Stars". Kila mmoja anamuona kama hafai, hana uwezo wa kukinoa kikosi cha Stars. Wengine wamekuwa wakithubutu kusema kama kwao Nigeria walimfukuza kazi ya…
Elimu suluhu ya migogoro ndani ya Simba na Mzee Kilomoni
Maisha yanaenda kasi sana. Hii inapelekea hata kuibuka na semi za Waswahili kuwa "Mambo ni mengi muda mchache" inatoa tafsiri ya mwendo wa muda na mambo yanayotendeka katika kipindi hicho.
Siku za hivi karibuni limeibuka suala lililovuta…