Browsing Category
Maoni
Maoni: Tumeshapita sasa tusuke mipango ya Cairo
Najiuliza kama mtafiti aliyetafiti na kubaini kuwa Burundi na Tanzania ni miongoni mwa mataifa yanayoshika nafasi za mwisho miongoni mwa nchi zenye furaha duniani, angefanya utafiti siku ya Jumamosi iliyopita na Jumapili asingepata majibu…
Maoni: Afrika Mashariki ichukue funzo kufuzu AFCON
Mpira ni hatua. Hatua huwa mithili ya ukuaji wa mtoto kwa maana huwezi kuruka kutoka hatua moja kwenda nyingine bila kukamilisha hatua hiyo.
Ni nadra sana kuona umefanikiwa katika jambo fulani bila kuzingatia mpangilio sahihi wa hatua…
Funzo la Alliance na Mtibwa chungu kwa Simba na Yanga
Wahenga husema "Mkubwa hakosei" hii wakimanisha kila afanyalo mtu mzima huwa sahihi kwa kiasi kikubwa lakini kwa kinachofanyika katika soka la Tanzania usemi huo wa Wahenga umeanza kutiwa doa baada ya wakubwa kuanza kukosea katika…
Maoni: AFCON U17 inakuja kimyakimya na itaondoka kimyakimya
Siku nyingine tena, jua limechomoza harakati za maisha ya binadamu zinaendelea kama kawaida katika miji mbalimbali hapa Tanzania. Harakati hizi zinakwenda sambamba na kutaniana ili kupunguza ugumu wa maisha na msongo wa mawazo ambao kila…
Maoni: Ni Liverpool, Man City au Tottenham ubingwa wa EPL?
Mbio za ubingwa wa EPL hivi sasa ziko wazi. Liverpool baada ya kutoka sare na West Ham wamefanya Ligi kuu England kunoga na kufikia matamu zaidi. Sio timu mbili tena bali tatu mpaka nne kimahesabu zinaweza kuwa bingwa endapo karata…
Maoni: Man City vs Arsenal, Pep au Unai?
Mjini Manchester leo ni jambo moja tu linazungumzwa. Jambo lenyewe ni namna ambavyo kocha mahiri Pep Guardiola anaenda kumkabili Unai Emery pindi timu hizo zitakapochuana.
Waswahili husema "Mtoto hatumwi dukani"
Mji wenyewe ni…
Maoni: Simba, Yanga zikubali kuwa viwango vyao vimeshuka
Kuna baadhi ya watu wanaamini katika maisha hakuna "shortcut" yaani njia ya mkato pindi unapotaka kufikia mafaniko, lakini "shortcut" zipo na ukizitumia wakati mwingine "unatoboa" lakini tatizo huwa tunashtuka wakati muda umeshapita.…
Mtazamo: Simba bado hajatoa makucha, tusubiri!
Nipo eneo la Tegeta pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam, nimetulia kwenye kiti katika moja ya Bar au sehemu ya kupata moja moto moja baridi na nyama choma, mimi na wenzangu wengi tupo hapa kutazama kandanda kati ya Simba na AS Vita, katika…
Hongera Azam FC ila nguvu zenu zisiishie Kombe la Mapinduzi tu
Ni mara ya tano sasa Azam wanafanikiwa kutwaa kombe la Mapinduzi Zanzibar na kujiwekea historia kwa klabu hiyo kutwaa mara nyingi kombe hilo tangu mashindano hayo yaanzishwe mwaka 2007
Mara tatu kati ya hizo wakiwafunga Simba kwenye…
Maoni: Uchaguzi Yanga utamaliza matatizo yao?
Patashika nguo kuchanika za kampeni za uchaguzi ndani ya Yanga zimenoga, ambapo sasa kila mgombea anatembea huku na kule kujaribu kuwashawishi wanachama ambapo mwisho wa siku wampigie kura za ndiyo.
Tangu jana ambapo Mwenyekiti wa…