Browsing Category
Ndondi
“Naogopa kutazama Masumbwi” asema Rais Samia
Baada ya pambano lenye kuvutia hisia kumalizika mwishoni mwa juma lililopita kwa kuwakutanisha Twaha Kidudu na Dulla Mbabe, leo Jumapili Rais Samia ametia neno.
Rais Samia ameyasema hayo akiwa kwenye hafla maalumu ya kuwapongeza vijana…
Twaha Kidudu amdukua Mbabe tena Dar es Salaam
Bondia Twaha Kassim ‘Twaha Kiduku’ ameendeleza ubabe kwa rafiki yake, Abdallah Shaaban Pazi ‘Dullah Mbabe' kufuatia kumchapa tena kwa pointi katika mchezo wa marudiano Ukumbi wa Ubungo Plazza Jijini Dar es Salaam.
Kiduku alianza vibaya…
Mwakinyo afuta machozi ya Taifa Stars kwa Watanzania
Bondia Hassan Mwakinyo amefanikiwa kushinda pambano lake dhidi ya mpinzani kutokea Argentina Jose Carlos Paz katika mpambano uliofanyika leo Ijumaa Jijini Dar es Salaam.
Ushindi wa Hassan Mwakinyo ambaye alikuwa anatetea mkanda wake wa…
Mwakinyo amtambia bondia wa Argentina Paz kuwa atamzima mapema
Hassan Mwakinyo, bondia wa Kitanzania na Muargentina Jose Carlos Paz wametamba kila mmoja atamchapa mwenzake katika pambano la kuwania ubingwa wa uzito wa Super-Welter wa mabara unaotambuliwa na chama cha WBF. Mwakinyo na Paz watapambana…
Bondia Mwakinyo amtwanga Mkongo Tshibangu Kayembe
Bondia wa Kitanzania Hassan Mwakinyo amefanikiwa kuibuka mshindi wa mkanda wa WBF Intercontinental Super Welter dhidi ya mpinzani wake kutoka Congo Tshibangu Kayembe katika mpambano uliopigwa Jana Ijumaa kwenye ukumbi wa Mlimani City Jijini…
McGregor astaafu rasmi kutoka ulingo wa masumbwi
IBondia Conor McGregor ametangaza kustaafu rasmi kupigana ulingoni ikiwa ni mara ya tatu katika miaka minne sasa.
Canor ambaye ni raia wa Ireland na mshindi mara mbili wa uzito wa juu wa UFC, ameandikisha rekodi ya kushinda mataji 22…
Bondia Mayweather kugharamia mazishi ya George Floyd Mmarekani mweusi aliyeuliwa na mzungu
Bondia na mshindi wa zamani wa mataji ya uzito wa juu wa ndondi Floyd Mayweather, 43, amejitolea kulipia gharama zote za mazishi ya George Floyd ambaye aliuawa na polisi aliyemdhibiti vikali katika Mji wa Minneapolis.
Waandamaji nchini…
Bondia Mmexico Mercado yuko tayari kumrushia Zarika
Bondia wa Mexico Yamileth Mercado anadai yuko tayari kwa ajii ya pambano lake la WBC Super - Bantam dhidi ya bingwa Fatuma Zarika. Pigano hilo litafanyika Nov 16 mjini Mexico, baada ya Zarika kumzaba chipukizi huyo mwenye umri wa miaka 20…
Bondia wa Marekani afariki dunia baada ya kuumia ulingoni
Bondia Patrick Day amekutwa na umauti siku nne tangu ashuke ulingoni dhidi ya mpinzani wake Charles Cornwell akisumbuliwa na majeraha ya Ubongo. Day, 27, alikuwa katika uangalizi maalumu tangu Jumamosi alipomaliza pambano lake la uzito wa…
Zarika akwepa makonde ya Phiri na kuhifadhi taji lake
Kabla ya kupanda ulingoni, swali ambalo kila mmoja alijiuliza ni je, ataitumia fursa ya pili kumnyamazisha bingwa wa taji la WBC Super bantamweight kwa upande wa wanawake? baada ya pigano, jibu likawa ni hapana kwa sababu Mkenya Fatuma…