Michezo ya Olimpiki Tokyo yaahirishwa hadi 2021

Mashindano ya Olimpiki ya Tokyo 2020 yameahirishwa hadi msimu wa joto mwaka wa 2021 kwa sababu ya janga la virusi vya corona linalouyumbisha ulimwengu. Hayo yametangazwa na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki – IOC. Michezo hiyo ilipangwa kufanyika Julai 24 hadi Agosti 9, lakini baada ya mashauriano ya simu kati ya rais wa IOC Thomas

Continue Reading →

Tamasha la Olimpiki 2020 kusogezwa hadi 2021?

Wakati virusi hatari vya corona vikiendelea kusambaa kote duniani, mashaka yanaendelea kuongezeka kuhusu kama michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020 itaendelea kama ilivyopangwa kuanzia Julai 34 hadi Agosti 9.Miito ya kutaka tamasha hilo liahirishwe imeendelea kutolewa huku nchi zikianza kujiondoa katika mashindano hayo. Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe amesema leo kuwa Japan lazima izingatie

Continue Reading →

IOC yaitisha mazungumzo kuhusu michezo ya Olimpiki

Kamati ya kimataifa ya Olimpiki, IOC, Jumanne tarehe 17.03.2020 inatarajia kuwa na mazungumzo na viongozi wa taasisi za kimataifa za michezo kufuatia mlipuko wa virusi hatari vya Corona vilivyoibuka na kuleta taharuki kubwa katika nchi mbalimbali duniani, chanzo cha karibu kutoka ndani ya shirikisho hilo kimezungumzia kuhusiana na suala hilo. Aidha chanzo kingine cha habari

Continue Reading →