Martial kukosa mechi zote za msimu huu, asema Ole

Kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amesema nyota wake Anthony Martial huenda akakosa mechi zote zilizosalia za msimu huu baada ya kupata majeruhi akiwa kwenye majukumu ya timu ya taifa. Martial, 25, alicheza mechi ya Ufaransa  dhidi ya Ukraine na Kazakhstan wiki iliyopita na kupata majeruhi kwenye goti lake. “Kumpoteza Anthony kwa kipindi ambacho

Continue Reading →

Tuchel atetea ukame wa Timo Werner Chelsea na Ujerumani

Kocha mkuu wa Chelsea Thomas Tuchel amesema mchezaji wake Timo Werner inatakiwa aache kufikiria juu ya ukame wake wa kufunga magoli badala yake acheze kawaida ili kurudisha ubora wake. Mshambuliaji huyo raia wa Ujerumani amefunga goli mbili pekee katika mechi 31 za Chelsea na Ujerumani, lakini pia juzi Jumatano alikosa nafasi ya wazi akiwa anakitumikia

Continue Reading →