Browsing Category
Riadha
Omanyala Avunja Rekodi ya Miaka 60, Ashinda Medali ya Dhahabu
Mfukuza upepo wa kimataifa wa Kenya Ferdinand Omanyala amefanikiwa kuvunja rekodi ya zaidi ya miaka 60 kwa kushinda medali ya dhahabu kwa Kenya katika mbio za mita 100 kwenye mashindano ya Jumuiya za Madola ambayo yanaendelea Jijini…
Serikali Kenya Yakana Kuhusika na Kucheleweshwa Visa ya Omanyala
Serikali ya Kenya imekana kuhusika kwenye kadhia ya kusumbuliwa kupata visa ya Marekani kwa Ferdinand Omanyala ambaye ni bingwa wa Afrika wa mita 100 katika kufukuza upepo.
Omanyala, 26, alicheleweshewa kupata visa wakati akijiandaa…
Omanyala akabiliwa na changamoto ya kusafiri kwenda Oregon
Mwanariadha mwenye kasi zaidi barani Afrika Ferdinand Omanyala anakabiliwa na changamoto ya kusafiri kwa muda ili kuweza kushiriki Mashindano ya Riadha ya Dunia huko Marekani, kwani kufikia sasa bado hajapata cheti chake cha kusafiria.…
Kipchoge Kutimka Berlin marathon Septemba
Mwanariadha wa Kenya anayeshikilia rekodi ya dunia Eliud Kipchoge atashiriki katika mbio za Marathon za mjini Berlin mwezi Septemba. Kipchoge ambaye alishinda medali za dhahabu katika michezo ya Olimpiki ya Rio de Janeiro mwaka 2016 na ya…
Mkenya Omanyala Ashinda Mbio za Mita 100
Mfukuza upepo wa kimataifa wa Jamaica Shelly-Ann Fraser-Pryce amefanikiwa kushinda mbio za mita 100 kwa kutumia muda mfupi zaidi wa sekunde 10.67 katika mbio zilizofanyika Jijini Nairobi nchini Kenya.
Rekodi ya Fraser mwenye umri wa…
Mkenya Jeptum Aipiku Rekodi ya Purity ya 2017
Mkenya bingwa wa mbio za Abu Dhabi Judith Jeptum amefanikiwa kuibuka kinara katika mashindano ya kukimbiza upepo (riadha) yaliyofanyika Jijini Paris, ushindi unaomfanya kuweka rekodi ya aina yake, kukimbia kwa muda mfupi zaidi.
Jeptum…
Bingwa mara mbili wa Olimpiki Kipchoge ashinda Tokyo marathon
Bingwa mara mbili ya dhahabu katika Michezo ya Olimpiki Mkenya Eliud Kipchoge amesema atalenga kitu kimoja kwa wakati mmoja baada ya kushindwa kidogo sana kuivunja rekodi yake ya ulimwengu katika mbio za Tokyo marathon Jumapili.
Kipchoge…
Cherono, Jelagat Reign Supreme in Valencia Marathon
Cherono crossed the finish line after a very close race, followed by Chalu Deso who was second with a time of 02:05:16 and Philemon Kacheran who crossed the spectacular blue walkway of the Ciutat de les Arts i les Ciències in 02:05:17.
Husband of slain Kenyan runner Tirop charged with murder, pleads not guilty
Ibrahim Rotich, the husband of slain Kenyan Olympic runner Agnes Tirop, was charged with her murder and pleaded not guilty in a Kenyan court on Tuesday (November 16). Rotich, 41, had been ordered last week to undergo a mental health test…
Prime suspect over Tirop’s murder arrested
Ibrahim Rotich, the husband of the late world 5,000m record holder Agnes Tirop has been arrested over her killing.
The 25-year old two-time world 10,000m bronze medallist was allegedly stabbed to death by Rotich on Wednesday at their…