Amonde kuwapeleka Shujaa Dubai mashindano ya IRB Series

Andrew Amonde atakuwa nahodha wa kikosi cha Rugby cha Kenya kitakachoshiriki mashindano ya kimataifa ya Rugby ya wachezaji saba kila upande – 2019/20 IRB Series ambayo yanangoa nanga Dubai mwezi ujao. Wakati akitangaza kikosi cha awali, kocha Paul Feeney amemuita tena nguli Collins Injera alikuwa majeruhi, wakati nyota Jacob Ojee, Jeffrey Oluoch, na Billy Odhiambo

Continue Reading →

Feeney awataka Shujaa kujiimarisha zaidi katika ulinzi

Kocha mkuu wa timu ya raga ya Kenya Paul Feeney anataka Shujaa kumakinika upande wa Ulinzi, na kupiga mikiki kabla ya michuano ya raga ya Dubai Sevens mwezi ujao. Mzaliwa huyo wa New Zealand, ambaye alichukua usukani miezi mwili iliyopita, aliisaidia Kenya kufuzu katika michezo ya Olimpiki mjini Tokyo 2020 wikendi iliyopita mjini Joburg. Kenya

Continue Reading →

Shujaa kuanza mazoezi ya michuano ya IRB

Timu ya taifa ya Kenya ya raga ya wachezaji saba kila upande sasa itaanza mazoezi ya michuano ya kimataifa ya IRB Sevens wiki ijayo, siku kadhaa baada ya kufuzu katika michecho ya Olimpiki ya 2020. Shujaa iliilaza Uganda 31-0 katika fainali za Africa 7s mwishoni mwa wiki mjini Jo Berg, Afrika Kusini na kunyakua tikiti hio. Shujaa wanarejea kwa mara

Continue Reading →

Rugby – Kenya yatinga michezo ya Olimpiki

Timu ya taifa ya Kenya ya mchezo wa raga ya wachezaji kila upande, Shujaa imefuzu katika michezo ya Olimpiki mwaka ujao jijini Tokyo nchini Japan, baada ya kuilaza Uganda alama 31- 0 jioni hii katika uwanja wa Bosman jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini. Mbali na kufuzu katika michezo hiyo, Kenya pia ni mabingwa wa Afrika.

Continue Reading →

Injera kurejea kikosini kabla ya michuano ya Dubai Sevens

Mchezaji nyota wa Raga nchini Collins Injera anatarajiwa kurejea katika kikosi cha taifa, kabla ya michuano ya Dubai Sevens mwezi ujao. Injerea anauguza jeraha la bega alilopata wakati wa michuano ya Safari Sevens mwezi uliopita, na atakosa michezo ya kufuzu kwa Olimpiki barani Afrika wikendi ijayo. Injera mwenye uzoeufu mkubwa atakua anarejea katika kikosi cha Shujaa,

Continue Reading →

Kikosi cha Shujaa cha ubingwa wa Afrika chatangazwa

Mkurugenzi wa kiufundi wa Muungano wa Raga nchini Kenya Paul Feeney amekitaja kikosi cha wachezaji 12  cha Shujaa  cha mechi za ubingwa wa Afrika kwa raga ya wachezaji saba kila upande ambazo pia zitatumiwa kama mechi za kufuzu kwa mashindano ya Olimpiki jijini Tokyo mwaka wa 2020. Mashindano hayo yataanza Ijumaa tarehe nane na Jumamosi 

Continue Reading →

Amonde kuongoza kikosi cha Shujaa katika kufuzu Olimpiki

Andrew Amonde  atakuwa nahodha wa kikosi cha raga cha wachezaji saba kila upande  katika mechi za ubingwa wa afrika ambazo pia zitatumika kwa kufuzu katika mashindano ya Olimpiki  jijini Tokyo mwaka wa 2020  jijini Johannesberg, Afrika Kusini  wikendi ijayo. Timu hiyo yenye uzoefu wa kutosha ilitangazwa na mkurugenzi wa kiufundi wa Shirikisho la Rugby nchini

Continue Reading →