Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno Cristiano Ronaldo amefunga magoli mawili ya kichwa akiisaidia timu yake ya Juventus kushinda bao 3-0 dhidi ya Crotone katika mchezo wa Ligi Kuu nchini Italia na kuendeleza hofu kwa timu zilizo juu yake. Ushindi huo unaifanya Juventus kuwa alama nane nyuma ya vinara Inter Milan ambao walijiimarisha kileleni baada ya
