Browsing Category

Serie A

Ibrahimovic kitanzini AC Milan

Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden na AC Milan Zlatan Ibrahimovic yuko kwenye mazungumzo ya mwisho ya kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kukitumikia kikosi hicho. Mkataba wa sasa wa Zlatan Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 39,…

Dybala, Authur pasua kichwa Juventus

Kocha wa kikosi cha Juventus Andrea Pirlo hajawajumuisha wachezaji watatu wa timu yake itakayochuana vikali na Torino Kesho Jumamosi mchezo wa Ligi Kuu nchini Italia kufuatia nyota hao kukiuka misingi ya kujikinga na virusi vya Corona.…