Eriksen afika uwanjani kwa mara ya kwanza

Kiungo mshambuliaji wa Inter Milan Christian Eriksen amesema kuwa kwa sasa anaendelea na kujisikia vizuri baada ya tukio la kupoteza fahamu uwanjani kwenye mechi yao ya kwanza ya michuano ya Euro 2020 dhidi ya Finland. Eriksen ameyasema hayo baada ya kuwasili viwanja vya mazoezi vya klabu ya Inter Milan na kuwaeleza wachezaji wenza na viongozi

Continue Reading →

Chiellini kubakia Juventus mpaka 2023

Beki wa kati wa Italia na Juventus Giorgio Chiellini ameongeza kandarasi mpya ya miaka miwili kuendelea kukitumikia kikosi cha kibibi kizee cha Turin. Kandarasi hiyo itamfanya mchezaji huyo kukitumikia kikosi cha Juventus kwa miaka 18 baada ya kusajiliwa rasmi mwaka 2005, mkataba mpya wa Chiellini utafika kikomo mwaka 2023 akiwa na miaka 38. “Ametengeneza historia

Continue Reading →

Giroud atua rasmi Milan, apewa jezi namba 9

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa na Chelsea Olivier Giroud amekamilisha uhamisho wa kujiunga na AC Milan kwa ada ambayo haijawekwa bayana kwa kandarasi ya miaka mitatu. Mchezaji huyo alijiunga na The Blues mwaka 2018 mwezi Januari akitokea Arsenal kwa ada ya pauni milioni 18. Giroud, 34, aliishukuru klabu ya Chelsea kwa namna ambavyo wametumia kipindi

Continue Reading →

Giroud awashukuru Chelsea, kujiunga na Milan

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Olivier Giroud ameishukuru klabu ya Chelsea kwa kumbukumbu nzuri ambazo zimetokea katika kipindi ambacho alikuwa Stamford Bridge. Kwa kheri ya Giroud inakuja kipindi ambacho ametua viunga vya San Siro ndani ya klabu ya AC Milan inayoshiriki Ligi Kuu Serie A. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34, anategemewa kumwaga wino

Continue Reading →

Mourinho akana kushuka daraja la ubora

Kocha wa AS Roma Jose Mourinho amekana kushuka kiwango katika kuzinoa klabu, akisema kama kushuka daraja angeona mataji kwenye klabu ambazo ametoka.   Kocha huyo mwenye umri wa miaka 58, “Maneno Mengi” alifutwa kazi msimu uliopita katika klabu ya Tottenham Hotspur baada kuifikisha hatua ya fainali ya Kombe la Ligi.   Akizungumza akiwa Roma, Italia

Continue Reading →

Inter yamtangaza Inzaghi kuwa mrithi wa Conte

Inter Milan imemtangaza rasmi aliyekuwa kocha wa Lazio Simone Inzaghi kuwa kocha wao kwa mkataba wa miaka miwili kufuatia Antonio Conte kuikacha timu hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 45 amejiunga na Inter Milan ambao ni mabingwa wa Serie A msimu huu huku akihitimisha safari ya miaka 22 na Lazio.

Continue Reading →