Allegri kuondoka Juventus mwishoni mwa msimu huu

Miamba ya Italia Juventus imetangaza kuachana na kocha wao Massimiliano Allegri mwishoni mwa msimu wa 2018/19. Kocha huyo alianza kupata misukosuko tangu atupwe nje ya mashindano ya UEFA Champions League na Ajax hatua ya robo fainali wakati timu hiyo ilikuwa ikipigiwa upatu kutwaa ubingwa huo. Juventus imefika fainali mbili chini ya Massimiliano Allegri katika miaka

Continue Reading →

Ronaldo aiokoa Juve dhidi ya kichapo cha derby

Cristiano Ronaldo alifunga bao la dakika za mwisho la kuwasawazishia mabingwa wa Serie A Juventus na kuwanyima majirani zao Torino ushindi wa kwanza wa derby ugenini katika miaka 24. Mreno huyo alifunga kichwa safi kabisa kutokana na krosi ya Leornado Spinazzola zikiwa zimebaki dakika sita mechi kumalizika. Shuti ya chini kwa chini ya Sasa Lukic

Continue Reading →